Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,232
- 2,729
Anaitwa EMANUEL MWAIPALE mweyeji wa mkoa wa mbeya, wilaya ya Kyela. kitu ambacho sifahamu ni kata na kijiji anachotoka mwaka juzi alihama kutoka Mbeya mjini maeneo ya Mwanjelwa na ambako alikuwa Mchungaji kuhamia kijijini kwao. Kwa yoyote mwenye details zake naomba anisaidie.