Toyota premio for 5.2m only

Toyota premio for 5.2m only

imetumika hapa mjini kwa 2 years ila ipo kwenye hali nzuri sana
 
Acha longolongo, weka picha na details nyingine za gari lako. Hatuna nauli ya kuja kuliona huko upanga.
 
weka picha please namba yake ya usajili na hali yake kwa ujumla 0712976729 ni cheki
 
Weka picha watu tuione iyo premio,gari haiuzwi kama mandazi mkuu
 
PREMIO1.jpg njjjjjjjjjjjjjjjjjjjjjn
 
82,000KMS
tairi mpya zimefungwa last three weeks
 
haina tatizo lolote naweza kukupa usafir nayo then ukikuta tatizo lolote usinilipe, na tairi zimefungwa mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom