Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo: Banana, Majumba sita, Karakata. Sifa za hiyo nyumba; 1. Nyumba iwe inafikika kwa gari. 2. Isiwe na LUKU ya kuchangia 3. Iwe...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta chumba kama kipo naomba kujulishwa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wasiliana kwa simu: 0784 282633
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Am ally riyami from udsm nauza simu aina mbalimbali ila ni second hand from s.africa na canada,nina black berry bold 9700,9900,sonny erickson experior hark,sumsung galax s3,d.camera...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
kati ya Noah,serena voxy na honda step wgn ni gari ipi nzuri zaidi ukizingatia vipengelea vifuatavyo\ -Fuel consumption -Upatikanaji wa spear -Comfortability -Repair and Maintanance
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo buguruni nyuma ya hasband bar. Piga simu: 0754 282633 na 0784 282633 0658 282633
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji watu wanao nunua used electronics kwa jumla LCD tv 32 inch ,Plasma tv , CRT tv , music system ,fridge ! Home theaters , DVD players ! Computer ,computer accessories !
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu ndo nimeanzamaisha nimepata kamkopo naombeni mnisaidie wapi ntapata kagari ka Sh milioni sita tu! Gar yoyote lakini iwe imeingizwa toka Japan siku si nyingi, asanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
1.Ipo kwenye hali nzuri sana2.Ina CC 1496 na hivyo ni nafuu kuigharamia mafuta 3.Mileage 95,000km4.Bado haijatumika kabisa hapa Tanzania na inamvuto wa kutosha5.Ni model mpya kwa huku kwetu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya shock absorbers za magari madogo na ya kati..,PM kwa details
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Eneo lina nyumba linafaa kwa kujenga gest na maduka ya biashara liko buguruni flats nyuma ya husband bar. 0754 282633 0658 282633
0 Reactions
3 Replies
992 Views
Eneo linauzwa liko buguruni malapa piga Simu: 0658 282633 0754 282633
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo linauzwa liko buguruni malapa. Piga simu: 0658 282633 0754 282633 hati ya makazi ipo.
0 Reactions
0 Replies
723 Views
DO YOU HAVE A TRANSLATION WORK? ( ARTICLE, BOOK, MAGAZINE, CONTRACT, MEMORUNTUM OF UNDERSTANDING(MOU), AND MANY OTHERS? ) WE TRANSLATE IT INTO ENGLISH, KISWAHILI AND FRENCH? CONDUCT us...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inatafutwa mashine ya kushindilia barabara yenye uzito wa tani kumi. Mwenye nayo au kujua mwenye nayo iliyotumika (used) awasiliane na mimi kwa abdulnoor3@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Excavator aina ya CAT 320 digital linakodishwa. Lipo Dar es Salaam. Piga simu 0684706516 au 0716308214
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Habari wana JF Nnasumbuka kupata cartiridge ya printer aina Canon Mp250 wakati mwingine najibiwa kuwa printer hiyo haipo. Kwa anayefahamu mahali nnapoweza kupata cartridge hyo nnaomba...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Nauza nokia c7 ni used ila iko kwenye hali nzuri bei ni 320,000. Anaehiitaji napatikana kwa namba 0713872828.
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ukubwa nii skwea mita 2218. Lipo Kitunda Kati,karibu na barabara ya lami,kituo cha mabasi-Masaai umbali wa mita 100 kufika kwenye eneo. Eneo linafaa kwa makazi au biashara au shughuli nyingine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jaman mshine ya pop con nitapata wapi na bei gan
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom