Nyumba Inauzwa.

Mmombo

Member
Oct 13, 2012
56
2
Nyumba inauzwa ipo buguruni nyuma ya hasband bar. Piga simu: 0754 282633 na 0784 282633 0658 282633
 
weka picha mkuu,details hazitosh,barabara ipo?maji,umeme upo?hati ya nyumba ipo?kiwanja kina ukubwa gani?ongezea nyama kwenye tangazo lako,mdau akisoma aelewe,pia contacts weka kabisa
 
tangazo halijitoshelezi, kama vipi ongea na Mang'ana wa hasbend bar anaweza inunua
 
inauzwa kwa sababu gani? kwanini uuze? inapigwa mnada kwaajili ya mirathi? inapigwa mnada kwasababu wewe umeichoka, inapigwa mnada kwasababu umesikia patakuwa na bomoabomoa, imepigwa mnada kwasababu gani? tueleze ili ujenge confidence hapa.
 
Ww c mnunuaji wenye shida wameshakuja kukagua na waneonyeswa kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom