Waduu heshima kwenu. Natambua uwepo wenu!
Ninaomba niwataarifu kuwa kuna eneo linauzwa pale Bigwa morogoro. Eneo hili ni heka kasoro kidogo. Bei yake ni sh m 12. Eneo liko kwenye view nzuri. Lipo karibu na makao ya masister wa Roman cathoric. Lipo eneo lenye mwinuko kukuwezesha wewe kuona view ya Morogoro vizuri.