We tafuta gari hayo ya bei utakutana nayo sokoni...Ukianzia na bei hata aliyekuwa akiuza milioni 4 atakuambia sita na pia kupata gari iliyoingia hivi karibuni toka JP kwa hiyo offer sidhani...labda ufafanue hivi karibuni unamaanisha nini...[Nna maanisha angalau tangu imeingia iwe na mwezi 1 bongo.]
Naomba uni PM tena mkuu, sijaipata msg yakonime ku-PM
Ninayo baloon gx90 Toyota mark ll pm tuongee iko super cc 1998, 6 Cylinder
Hny siyo hivyo gari yako ipo palepale hii niile ya hausi boi!Nataka tumpe ile pickup Navara double cabin au?Unaonaje maana sioni haja yakuwa na saloon wakati yeye kazi za nje zinahitaji picup!unauza gari bila hujanitaarifu kha!!!