Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,420
- 8,360
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo:
Banana, Majumba sita, Karakata.
Sifa za hiyo nyumba;
1. Nyumba iwe inafikika kwa gari.
2. Isiwe na LUKU ya kuchangia
3. Iwe inajitegemea ( Ikiwa ni two in one itakubalika tu kama choo na LUKU hakuna kuchangia)
4. Kodi uwezo wangu ni kuanzia laki moja na nusu hadi laki mbili kwa mwezi.
Kwa wale walio tayari kuwasiliana nami wani PM tafadhali