Habari wana JF
Nnasumbuka kupata cartiridge ya printer aina Canon Mp250 wakati mwingine najibiwa kuwa printer hiyo haipo. Kwa anayefahamu mahali nnapoweza kupata cartridge hyo nnaomba anisaidie.
Nnatanguliza shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.