Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jaman, 2saidiane ukweli kuhusu simu feki. Je, nikwel zinafungwa?. Je,ikifungwa hata mziki hausikilizi? Na je, utajuaje kama ni feki? "Nisaidien"
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei ya kila sms ni Tsh. 50/= , VAT Inclusive. Kwa mawasiliano tumia:- 0655485854 0764485854 0786485854
0 Reactions
3 Replies
2K Views
CHARCOAL HOME DELIVERY LIMITED Charcoal HomeDelivery Company Limited is a limited company established in 2012 aiming atdelivering/supplying charcoal to private homes, hotels, restaurants...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Waungwana Mjumbe hauwawi. Nimetumwa kutangaza kwamba mdau mmoja anayemiliki music production studio (iko Chang'ombe, Maduka Mawili, Dar) ameamua kuiuza. Sababu ni zake mwenyewe. Vifaa vyote ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kipo madale kata ya goba b..karibu na stendi ya gari zitokazo wazo contact 0714812375
0 Reactions
0 Replies
887 Views
KIWANJA CHENYE UKUBWA WA EKARI MOJA KINAUZWA KIPO KARIBU NA SHAMBA LA MH. KEENJA au KARIBU NA SHULE YA SEKONDARI MBOPO. KIPO KARIBU NA BARABARA NA GARI LINAFIKA MPAKA KWENYE KIWANJA BEI MILIONI 13...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Web Development Training in Joomla @ COSTECH Kijitonyama Event in Dar Es Salaam, Tanzania Come and learn about latest Web Technologies and Web Content Management System (CMS) with Joomla...
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Salam wadau, napenda kuwataarifu kuwa sasa nimeshaanza kuuza mpunga, bei ni sh 100,000 kwa gunia la kilo 90. Kwa yeyote atakaependa kununua, tafadhali usisite kuni PM. Karibuni sana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu! Naomba mwenye kufaham bei ya hiyo simu mpya na origina dukani kwa bongo land anijuze! Natanguliza shukran.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Gari ndogo aina ya subaru forester ya mwaka 2000. transmition ni menu. Imeingia nchini mwaka 2009 rangi yake ni nyeusi. Bei ni mapatano. Kwa mawasiliano namba za simu 0784-604065/0762-575759
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari nilikuwa nauliza Bei ya Samsung Galaxy S ii kwa maduka ya Dar es salaam in Range kati ya shilling ngapi na ngapi kwa simu mpya dukani! Anaefahamu pleaz anijuze
0 Reactions
9 Replies
14K Views
Simu iko katika hali nzuri with original battery na original charger na cover yake pamoja na screen protector.. Nicheki kwa number hii.. Text or calls.. 0718882873
0 Reactions
0 Replies
968 Views
wasiliana na Mwl ndugu Mwinyi mtafusiri mstafu uzoefu zaidi ya miaka 25 katika taruma iyo BAKITA-baraza La Kiswahili Tanzania {Alie kwenye jopo lakipindi cha TBS cha daru zakiswahiri}Anatafsiri...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wandugu nahitaji kununua gari suzuki carry je inauzwaje na inaweza kunisaidia kuingiza kipato changu kama nitaiweka barabarani ikodishwe wenye ideas pse msaaada wenu nawasilisha wazee.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza computer aina ya HP (LAPTOP) ambayo ina ukubwa wa 3GBRAM, PROCESER: ADM SEMPRON (tm) M100 2.00GHZ, 235GB, 32 BIT OPERATING SYSTEM. Bei ni maelewano, bei yangu ni 500,000, mwisho 450,000...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
LAPTOP computer inauzwa kwa bei ya kutupwa!!!!!!!!!!! Ni hp ram 3, hard disk ya 235, proceser ya 2.00, rating yake ni 32 bits, bei 500,000, mwisho 450,000, na baada ya hapo bei ni maelewano,, no...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kiwanja chenye hati eneo lolote dsm kwa haraka ila ni lazima tukafanye search wizarani kwa register ilikujuwa kama ni halali no.0765616178 or 0787139327 nakihitaji kwa haraka sana
0 Reactions
5 Replies
1K Views
GEST KAUKUMBI NA BAR INAPANGISHWA.gest inapangishwa bei kwa mwezi mil 1nalaki 2 kodi anatakiwa yamwaka ipo temeke juu ya uwanja wa taifa matengenezo yote juu ya mwenye nyumba ofa mwezi mmoja bure...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimepigiwa simu jioni hii na jamaa yangu akiwa mgodini, amebahatika kupata kipande cha dhahabu. Shida yake kubwa ni kujua soko la dhahabu hapa Dar likoje? bei kwa gram moja ni shilingi ngapi?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
I salute u Wanajf! leo nimeshangaa sana, nilienda barabara ya 15 jiji la Tanga kupata huduma ya unga wa mahindi.Nilivofika nikamkuta mama mmoja wa kitanga nikamuuliza debe moja la mahindi ni bei...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…