Nataka kununua suzuki carry

Nataka kununua suzuki carry

delusions

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
5,001
Reaction score
1,292
Wandugu nahitaji kununua gari suzuki carry je inauzwaje na inaweza kunisaidia kuingiza kipato changu kama nitaiweka barabarani ikodishwe wenye ideas pse msaaada wenu nawasilisha wazee.
 
Upo wapi maana ushauri utategemea ww upo wapi(kwa maana ya mkoa)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom