Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wana jf, Napenda kuwatangazia kua nauza laptop aina ya Sony,model VPCEH1AFX Processor Intel Pentium B940 / 2.0 GHz ( Dual-Core ) Memory 4.0 GB Hard Drive 500.0 GB - Serial...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Vitalu/Plots/ Primary Mining License (PMLs) vya madini ya Dhahabu, Shaba na Alumasi vinauzwa. Eneo: Iramba-Singida kwa zile (PMLs) za Dhahabu & Alumasi : Chunya-Mbeya kwa zile(PMLs) za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau! Tunatafuta wadau wawili au watatu wa uhakika wenye uwezo wa ku supply kwa pamoja jumla ya tani 500 kwa mwezi za PET flakes (makopo matupu yanayotumika kutunza maji ya kunywa, soda, n.k)...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Dear Customers, we wish to announce that 25 Gold, Diamond and Copper Primary Mining License (PMLs) are on sale. Location: Iramba- Singida for Gold & Diamond PMLs Chunya- Mbeya for Copper PMLs...
1 Reactions
2 Replies
988 Views
Wakuu kuna mashine fulani nataka kuagiza from China, na inaweza fikia Bandari ya Dar, sasa naomba kujua utaratibu wa kuichomoa huko Bandarini, Je ni lazima kutumia mawakala hata kwa hako kazigo...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kiwanja cha hekali mbili kinauzwa kibaha pembeni ya tra kipo barabarani kinafaa kwa godown au kituo cha kuuzia mafuta bei 470 milioni kwa mawasiliano nipigie 0713935738 maelewano yapo upande wa bei.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
cleaning@universalcleaners.co.tz
0 Reactions
1 Replies
803 Views
In good running condition with full options. Available for viewing at Tabata Segerea. Price Tzs. 12.5 million - Negotiable Please call 0765 222 333.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
dell insparion N5010,wide scree HD webcum,RAM 4gb, hard disk 500 gb,i3 dual core 2.6 pia ina DVD writable....mzigo ni wa ukweli bei ni laki 9 ila maelewano ypo. Ukiona hii bei huielewi we jaribu...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
dell insparion N5010,wide scree HD webcum,RAM 4gb, hard disk 500 gb,i3 dual core 2.6 pia ina DVD writable....mzigo ni wa ukweli bei ni laki 9 ila maelewano ypo. Ukiona hii bei huielewi we jaribu...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
nna nokia E63 iko poa na ina full apps kam whatsapp,skype,nimbuzz,wechatapp,joiku.,netqin na nyngne nyingi tu...OS ni symbian s60v3...price ni 160 tu...kam unaipenda ni PM
0 Reactions
0 Replies
846 Views
SOLD ***** SOLD ***** SOLD Nauza Blackberry curve 8520, Nimeshaitumia, ina few scratches lakini Inafanya kazi vizuri sana. Bei ni 100,000 tu. Inakuja na charger yake original. SOLD ***** SOLD...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Viwanja 4 vinauzwa vina hati vipo maeneo mazuri 1, sqm 790 bei ml 11, 2, sqm780 bei ml11 3, sqm 760 ml 10, 4, sqm 720 bei ml 10. Huduma za jamii zipo ni pazuri kwa makazi na biashara kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naleta habari njema kwa wafugaji wa kuku. Jamani natafuta mayai ya kuku wa kisasa na kienyeji. Mwenye mayai aniambie bei na anaweza toa tray ngapi kwa wiki.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kina ukubwa wa robo ekari(30 kwa 30) unaweza kujenga nyumba ya vyumba sita na mabanda ya uwani. Kipo takribani robo km kutoka barabara kuu iendayo kusini. Ni km 27 mpk 28 kutoka mbagala nauli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu natafuta simu. isizidi 170,000/=.... Nokia au Blackberry itakuwa poa zaidi
0 Reactions
10 Replies
1K Views
kiwanja kimepimwa kina hati miliki kipo bagamoyo mjini kipo flat, huduma za maji, umeme, na barabara zipo bei tsh 6.3 m contact 0714104788
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Compaq Presario Widescreen HD Ram 1gb Hdd- 80gb WLAN DvD/Cd Rw Bei ni 400,000/= Ni Used lakini ipo katika hali nzuri sana Kwa mawasiliano - 0682 017 620 Wahi fasta mzigo upo sokoni
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kina urefu wa mita 40 na upana mita 20, bei ni Tshs 2,500,000/= kwa maelezo zaidi piga 0764434673
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pangani - Tanga Pangani Farm: 38 acres · Title deed available · Orange farm · Located at Kimang’a, Pangani – Tanga (12 Kms from Pangani, 40 Kms from Tanga and 36 Kms from Mheza) · All season...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom