Salam wadau, napenda kuwataarifu kuwa sasa nimeshaanza kuuza mpunga, bei ni sh 100,000 kwa gunia la kilo 90. Kwa yeyote atakaependa kununua, tafadhali usisite kuni PM. Karibuni sana.
Source ya io mpunga?
Mh kama wa Mwanza nitakuwa nimenunua mawe/mchanga, mpunga wa Mwanza na Shinyanga hukung'utiwa kwenye udongo badala ya mkeka au magunia.Ungekuwa mpunga made in Kyela hapo ningevuta uzi lakini kama wa Mwanza hata buure siutaki
Acha kuwa tapeli,kwanini uwauzie wenzako kitu kisichofaa kisa kuendeleza njaa yako,mpunga wa Mwanza na Shinyanga ni mawe matupu ,kusema ukweli ndio kuharibu biashara,je angesema ana mpunga wa Morogoro au wa Babati unafikiri ningeandika hivyoAcha kuharibu biashara ya watu! Kataa kivyako watu tunasema nao huu mchele! Baadhi ya watu wakiwa maskini na akili zao zinadumaa, wanaona gere wenzio wakijaribu kutoka.
Badili tabia.
Salam wadau, napenda kuwataarifu kuwa sasa nimeshaanza kuuza mpunga, bei ni sh 100,000 kwa gunia la kilo 90. Kwa yeyote atakaependa kununua, tafadhali usisite kuni PM. Karibuni sana.
Acha kuwa tapeli,kwanini uwauzie wenzako kitu kisichofaa kisa kuendeleza njaa yako,mpunga wa Mwanza na Shinyanga ni mawe matupu ,kusema ukweli ndio kuharibu biashara,je angesema ana mpunga wa Morogoro au wa Babati unafikiri ningeandika hivyo