Wahi ofaaaa ofa wakati ni wako

Wahi ofaaaa ofa wakati ni wako

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
GEST KAUKUMBI NA BAR INAPANGISHWA.gest inapangishwa bei kwa mwezi mil 1nalaki 2 kodi anatakiwa yamwaka ipo temeke juu ya uwanja wa taifa matengenezo yote juu ya mwenye nyumba ofa mwezi mmoja bure ni mpya VYUMBA 11 Self contena 6 vya kawaida 5 kauta ya nje nyoo vya nje 2 mabafu 2 kuna ukumbi wa kuingia watu 70 na bar mimi ni mwenyewe mmiliki sio dalali marumaru nyumba nzima mpaka chooni madirisha ya vioo karibu +255712690760,+255755984282
 
Attachments

  • Photo0059.jpg
    Photo0059.jpg
    244.9 KB · Views: 82
  • Photo0080.jpg
    Photo0080.jpg
    104.5 KB · Views: 91
Anaikodisha.ukimpatia millioni 14 anakupa urun
 
Sijakuelewa mill 14 kivipi Kama unasema una mill 14 au
 
Humesema hahiwezekani kulipia mihezi minne,kama hinawezekana nipe taharifa nihichangamkie hiyo hofa
 
GEST KAUKUMBI NA BAR INAPANGISHWA.gest inapangishwa bei kwa mwezi mil 1nalaki 2 kodi anatakiwa yamwaka ipo temeke juu ya uwanja wa taifa matengenezo yote juu ya mwenye nyumba ofa mwezi mmoja bure ni mpya VYUMBA 11 Self contena 6 vya kawaida 5 kauta ya nje nyoo vya nje 2 mabafu 2 kuna ukumbi wa kuingia watu 70 na bar mimi ni mwenyewe mmiliki sio dalali marumaru nyumba nzima mpaka chooni madirisha ya vioo karibu +255712690760,+255755984282
vipi swala la kuinunua jumla?
 
una bilion moja kama unayo nauza
 
nime kwambia namba yangu ya cm nimeweka nitafute unasema kwamiezi 4 minne kaka
 
nime kwambia namba yangu ya cm nimeweka nitafute unasema kwamiezi 4 minne kaka

Ww kiswahili lugha yako, au ya baba tu..?? au ya mama..? au ww masaai...!!

Kwa tmk that is too much, ingekuwa Sinza ningekuja kukupeleka benki fasta, ...
 
panga bure mwenyeruga yako yakiswahili kaka nanimejibu kwalie uliza kua anataka kulipa kwamiezi minne namwenyekutaka kununu bilion nauza mana sikaona labda sistaili kumili wenyekustaili kumiliki wenye 2wenye mahela
 
Pamekodiwa teyale asanten jamii forum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom