Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Jan 16, 2013 #1 Wakuu habari zenu! Naomba mwenye kufaham bei ya hiyo simu mpya na origina dukani kwa bongo land anijuze! Natanguliza shukran.
Wakuu habari zenu! Naomba mwenye kufaham bei ya hiyo simu mpya na origina dukani kwa bongo land anijuze! Natanguliza shukran.
M mfocbsjut JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 476 Reaction score 255 Jan 16, 2013 #2 Bei yake ni 970,000/=