Computer inauzwa bei chee kabisa!!!!!!!!!!!

Computer inauzwa bei chee kabisa!!!!!!!!!!!

KAMBUNDA

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
79
Reaction score
8
Nauza computer aina ya HP (LAPTOP) ambayo ina ukubwa wa 3GBRAM, PROCESER: ADM SEMPRON (tm) M100 2.00GHZ, 235GB, 32 BIT OPERATING SYSTEM. Bei ni maelewano, bei yangu ni 500,000, mwisho 450,000 baada ya hapo tunaelewana,, Nicheki katika namba zifuatazo; 0762-336 555
0715-936 555
NAPATIKANA MWANZA-NYEGEZI KARIBU NA STAND KUU YA MABASI YAENDAYO MIKOANI!! (CALFONIA)
KARIBUNI NYOTE!!
 
safi sana..haya ndio aina ya matangazo tunayoyataka...full descriptions ...
ngoja nkutafute kwa hewa............
 
Poa kaka,, fanya hivyo na wewe unaweza ukala cha juu,, kama vp tuwasiliane kwa contact hizoooooooo hapo juuuu!!!!!!
 
safi sana..haya ndio aina ya matangazo tunayoyataka...full descriptions ...
ngoja nkutafute kwa hewa............

Au sio. Hapo hata kama unataka kushushiwa bei at least una pa kuanzia. Sio mtu anaandika 'BEI MAELEWANO' lakini hajaweka bei, sijui mnaanzia wapi kuelewana!
 
Thats all,,, ndo maana nikaweka uhakika wa kile kitu ambacho nakifahamu vema,,, mtu haweki bei ya kitu halisi bali anaweka kuwa bei ni maelewano,,, inakuwa haieleweki kabisa. Do as u can to be patient on it!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom