Music Production Studio (digital) inauzwa

Music Production Studio (digital) inauzwa

MwanaHaki

R I P
Joined
Oct 17, 2006
Posts
2,401
Reaction score
710
Waungwana

Mjumbe hauwawi.

Nimetumwa kutangaza kwamba mdau mmoja anayemiliki music production studio (iko Chang'ombe, Maduka Mawili, Dar) ameamua kuiuza. Sababu ni zake mwenyewe. Vifaa vyote ni vya kisasa na havina kasoro.

Madalali hawatapokewa. Uje mwenyewe. Baadhi ya picha za studio zimeambatanishwa.

Piga simu namba +255-754-001936 kwa taarifa zaidi au tuma email ntevigeorge@hotmail.com.

Karibuni sana.
 

Attachments

  • IMGP6321.JPG
    IMGP6321.JPG
    171.7 KB · Views: 119
  • IMGP6322.jpg
    IMGP6322.jpg
    139.5 KB · Views: 92
  • IMGP6325.JPG
    IMGP6325.JPG
    200.9 KB · Views: 84
  • IMGP6329.JPG
    IMGP6329.JPG
    98.1 KB · Views: 82
  • IMGP6333.JPG
    IMGP6333.JPG
    165.7 KB · Views: 74
Mkuu umesomeka
hapa ni open forum,so before we can proceed into calling each other ungetuwekea japo mambo mawili matatu ya kutusaidia
ie
Bei
Orodha ya vifaa vilivyopo na si vibaya make na spec zake
Je na jengo linaweza kutumika hilohilo au mnunuzi sharti achukue vifaa na kuondoka?
Vilishatumika au bado?
 
ndio haya haya ninayoyasema daily... kama mmeamua kuja JF mnaficha ficha nini?? au vya wizi?
weka bei bana!!
 
Back
Top Bottom