Wakuu nina mzigo wa fridges nzuri sana za boss hapa, nautoa nataka uishe chap sana ili nilete mzigo mwingine, hivyo basi nimeweka punguzo kubwa sana la bei.
Ukinunua kwetu unapata Usafiri bure...
Habari wakuu!
QGIS ni programu ya bure. Jina QGIS linamaanisha "Quantum GIS" na awali ilianza kama mradi wa Quantum GIS mnamo mwaka 2002. QGIS ni program bora sana kulinganisha na program...
Nauza Computer Softwares aina zote :)
Adobe packs,
Corel draw,
Wondershares software zote,
Sony Vegas,
After effects project files,
SPSS Statics by IBM,
Excels Formulas,
na zingine nyingi TU...
Habari wadau
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji turubali ngumu kama zile zinazofunikia mizigo katika malori makubwa , sihitaji mpya ila itakayopatikana iwe nzima isivuje, hata kama...
Mwezi wa 8 naenda Burundi,atakayehitaji decorder tunauza 150,000 pamoja na package ya mwezi mzima.Dish na kitovu havihusiki.Namaanisha deki na remote pamoja na waya wa kuunganisha.
Mhitaji awe...
Salaamu
Karibu ujipatie PDF za mazao mbali mbali,
Zipo PDF za mazao 11 (1. Viazi Mviringo 2. Hoho 3. Tikiti Maji 4. Vitunguu Maji 5. Parachichi 6. Kabichi 7. Pilipili Kali 8. Karoti 9...
Wakuu Kuna boma linauzwa Mbweni Millioni 40 . Mtu ataendeleza tu hilo boma
Mita 15.3 kwa mita 23
N.B chenye thamani ni kiwanja sio boma .Call 0759600684
Nawasalimia wana jamii forum.
Naitwa Rosie nafanya delivery ya bidhaa za sokoni, mfano pilipili hoho, nyanya, karoti, mchele, mafuta ya kupikia, maharage, viungo na mahitaji mengine. Niko mabibo...
Habari wakuu,
Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini...
Fremu inatizama barabara, kubwa inafaa kwa biashara yoyote ile. Haihitaji matengenezo.
Kod laki 7, malipo ni miez 12. Kilemba gharama za matengenezo aliofanya mpangaji anaeachia hapo zinarudishwa...
Simu za infinix zilizopo zote ni mpya:
Hot 8 lite bei 250,000
Smart 3+ bei 290,000
Hot 7 bei 240,000
S4 bei 350,000
Simu za Tecno zilizopo zote ni mpya
Spark 2 bei 230,000
Spark 3 na pro yake bei...
Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet.
Limejengwa ndani ya eneo...
Boma linauzwa, limefikia hatua ya kufunga lanter, lina vyumba 3 vya kulala ambapo viwili ni self, kimoja ni cha kawaida, sitting, dining, jiko pamoja na public toilet.
Limejengwa ndani ya eneo...
Mwenye hii gari Toyota Coaster nipigie tufanye kazi.
Gari iwe na 29 seats.
Gari iwe na AC
Gari iwe registered for commercial use
Isiwe na mkanda wa route
Hesabu kwa siku ni 80,000
Nipigie kwa...
Kibanda mkokoteni, maalumu kwa kuuzia nguo.
Kinauzwa, bei poa na ni tofauti na mikokoteni yote (karibu) +255755360768 location:- arusha
sifa za kibanda hiki;
Kwanza kabisa kibanda hiki hakipo...
Muundo wake Vyumba vitatu vya kulala kmoja n master bedroom seble jiko dining stoo na choo na bafu (CommonToilet)
Huduma zote maji umeme barabara vpo site mtaa mzurii uliojengeka kisasa sanaa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi nipo Dar es salaam, nina gari canter, box body freezer, yenye uwezo wa kubeba mizigo ya baridi na ya kawaida.
Natafuta kazi halali popote hapa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.