Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kutokana na kuelemewa na majukumu yanayohitaji kusafiri mara kwa mara na kushindwa kuwa na usimamizi wa karibu tumeamua kuuza biashara yetu ya duka la nguo. Kama unataka kuingia kwenye biashara...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Gari inauzwa bei TSH.21,000,000/-TU ipo kwenye hali nzuri sana ilikua inasafirishiwa mikate tu ,mwenyewe kapatwa na shida ya ghafla anauguliwa ,ukihitaji kuiona ipo maeneo ya kigamboni maelezo...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Tuna pampu ndogo hadi kubwa za kutoa lita 30,000 kwa saa. Bei. Surface pump na submersible 0.5hp lita 2000kwa saa. complete tsh 700,000. 2hp ya kudmbukiza lita 8000 kwa saa, mita18head tsh...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Bandugu kwema? Nina laptop naiuza. Ina ram 8GB, HDD ni 500, CPU ni 2.4GHz ni Hp. Kwa Dar ni wapi wananunua laptop used? Adapter yake ipo pamoja na battery.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kinanda aina ya Novation Launchkey 49 MK2 kinauzwa. Kinanda hiki ni maalum kwa ajili ya Music Production tu. Kinanda hiki bado ni kipya na hakina hata mkwaruzo. Kinafanya kazi na software zote za...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Karibu buguruni kisiwani kujipatia vifaa vya ujenzi kama vile nondo, mabati, Square pipes, Rangi na vingine vingi kwa bei ya jumla kabisa.
0 Reactions
3 Replies
945 Views
Iwe inchi 8 au 10 ikiwa ya mtumba lakn iwe inafanya kazi, kama hii hapa chini.
0 Reactions
1 Replies
320 Views
ONSALE[emoji593] Call [emoji338] 0756553292 CROWN ATHLETE Reg number ....D.R VERY CLEAN CONDITION Year 2005 Engine Cc 2490 Price (12,900,000) Kama Unauza gari lako, Tafadhali Wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
97 Replies
8K Views
Salam wakuu, Nauza kiwanja chenye urefu wa mita 35 na upana mita 20. Kimepimwa(surveyed) Bei ni Tsh. Milioni 3 Plot number 594 Location: Morogoro, Mkundi. Mawasialiano zaidi: WhatsApp number...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Nauza eneo la kiwanja lipo mailimoja B umbali km 1.5 toka barabara ya Morogoro, eneo lina ukubwa wa mita 20 kwa 50, huduma za maji na umeme barabara zipo . Contact,0744639217 Bei,10millions View...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Katika pitapita zangu nikagundua Kariakoo bila kujulikana utauziwa vitu ghali. Kuna mwanamke alitaka TV inch 65 akaenda kariakoo bei ikamshinda akaona anitafute nikamwambia bei yangu akaridhika...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za muda wadau! Kuna kazi Kubwa ya kutengeneza kokoto kwaajili ya ujenzi wa barabara. Kama una-crasher au unamfahamu mtu alienayo. Nitafute What'sApp kwenye namba (....). Zimeshapatikana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nokia 150 Display:- 2.4”QVGA Wireless FM Radio Camera with Flash [emoji367]Up to 19.4 hrs/23.4days/ Talk/standby time MicroSD card Support up to 32gb Price - 95,000/= Free Delivery [emoji598]...
1 Reactions
4 Replies
495 Views
HAYA ENEO LINAUZWA "UBUNGO RIVERSIDE" ,VIWANJA VIWILI KWENYE ENEO MOJA,KIWANJA KIMOJA KINA HATI NA KINGINE HATI IPO KWENYE PROCESS ILA KINA JENGO LA GHOROFA 1.HILO ENEO LILILOZUNGUSHIWA FENSI...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Dining table za viti 6 zipo mbili Bei 380,000/= Sofa 2:2:1 kama zilivyo pichan Bei 350,000/= zote Godoro 5/6 nchi 8 Bei 160,000/= Oven ya kupashia 20L Bei 95,000/= Mtungi wa Gase mtupu. 25,000/=...
6 Reactions
56 Replies
5K Views
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo. Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano. Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam Bei zetu ni kuanzia...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Kibaha kwa Mfipa Plot number 57 hiyo Kiwanja kimepimwa na kina Hati Sqm 600 Umbali km 2 toka moro road Bei million 6 Nina 20×40 million 7(km 2) Nina 35×20 kina hati million 8(km 1) Nina vya 20×20...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamii. Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili. Kwa...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom