Home tuition services
Member
- Aug 30, 2023
- 86
- 116
Good morning, Je,? Una mtoto ambaye ni mzito kwa sababu ya changamoto ya kimazingira(Environmental challenge) Kihisia(Emotional disorders) kimwili (physical disorders mfano ulemavu ,blindness , Earing inability, speaking difficulties na changamoto nyingine. Je,?
Unahisi ndio mwisho wake kitaaluma kwa sababu ya kufanya vibayaDarasani! "Disability is not Inability". Yani ulemavu sio kutoweza, Hakuna mtu ambaye hawezi akipewa nafasi, Tutafute sehemu yeyote ulipo nchini Tanzania kwa namba 0743567159.
Tumsaidie mtoto wako kupata Mandeleo mazuri kitaaluma aweze kufanya vizuri zaidi katika Masomo yake, Tunashughulika pamoja na watoto wanaosoma shule za serikali kuwasaidia kiingereza pamoja na hesabu,resters, wanaojiendeleza makazini, ushauri kwa kisaikolojia kwa wale watu waliopata changamoto baada ya kufiwa na wazazi, kubalehe , kukimbwa na Sonona nk.
Mawasiliano :0743567159. Karibu sana uwe bara au visiwani tunakufikia.