Shamba lenye Title deed Linauzwa Moshi

Shamba lenye Title deed Linauzwa Moshi

LAT

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
4,400
Reaction score
1,317
Shamba lenye ukubwa wa aka 14 ... 7km form moshi town .... 3km from moshi dar road along Pumwani suburb .... mkonga ward ..... flat land ... very fertile for maize sunflower cultivation and kilimo kwanza ... water table is around 35-30 meters deep ... maji ya bomba yapo 400 meters away from the farm in a nearby village

clean title deed 99 years occupancy ownership

good land for education institution investment or industrial package .... very clear view of mount Kilimanjaro

ideal investment opportunity

please pm for more info
 
mzee hiyo ni ardhi ya kijiji haiwezi kuwa na title deed.
 
asking price ... 5.0M per acre

Dah,
Hivi vitu bwana upate mkulima wa kulekule kijijini anaeviuza utafaidi na bei yake
Akishaingia m'bongo wa mjini mbona tunakoma!!!
 
Dah,
Hivi vitu bwana upate mkulima wa kulekule kijijini anaeviuza utafaidi na bei yake
Akishaingia m'bongo wa mjini mbona tunakoma!!!

mkuu

katika sehemu zenye scarcity ya ardhi Tanzania ni moshi, ardhi takriban yote inamilikiwa na watu na imeendelezwa .... moshi hakunapori wala mashamba ya vijiji ..... pia maeneo mengi yanayomilikiwa moshi ni maeneo madogo madogo ..... mind you hizi ni acres 14 na zote zipo kwa pamoja with registered docs fully surveyed ... pia shamba hili halipo mbali namoshi mjini na ni karibu na barabara kuu ya moshi dar

all are welcome .... all the best
 
Muuzaji ni Mchagga?

mkuu

ownership ndicho kitu cha muhimu na owner anaweza kuwa mtu yeyote na wa kabila lolote ..... muuzaji anaweza kuwa dalali .... hapa owner ndiye muuzaji
 
Back
Top Bottom