Pawatila za Kubota

Pawatila za Kubota

B69

New Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Sasa Kwa kuanzia malipo ya 20% unaweza kumiliki trekta ya mkono (powertiller) ya KUBOTA

Sifa za mkopaji
1. Awe na akaunti hai katika benki husika ambapo atachangia kianzio cha asilimia kuanzia 20% na kuendelea ya thamani ya powertiller

2. Awe na kitambulisho rasmi kitambulisho cha Taifa, kitambulisho cha mpiga kula, Hati ya kusafiria

3. Awe na uzoefu wa kutosha katika kilimo cha biashara(agribusinesses)

4. Awe na uthibitisho wa makazi - Barua ya mtendaji kutoka ofisi ya kata au kijiji.

5. Awe na uthibitisho wa kumiliki ardhi kuanzia ekari 10 na kuendelea (zinaweza kuwa zake au za kukodi)

6. Ankara (Proforma invoice) kutoka kwenye kampuni inayotambulika.

7. Awe na umri wa miaka 21 au zaidi.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia
Call/Text/WhatsApp
IMG-20221027-WA0061.jpg
0620 160 280 au 0763 757 959
Email; info@zana.co.tz
 
Back
Top Bottom