Habari ndugu wana JF,
napenda kuwataarifu ndugu zangu hpa jirani yangu kuna nyumba nzima yenye vyumba 5 parking ya gari ndani kodi ni laki sita kwa mwezi. ipo magomeni moroco hotel karibu na...
Noah ya mwaka 2000
vibali vyote vimelipwa bado bima ( inasurance)
imetembea km 125,000
inapatikana kinondoni 0657 145555 au 0772 00 8866
ina A/c cd player n.k
bado nashughurikia vibao vya namba.
Habari wana JF!
Kuna nyumba inapangishwa jijini Arusha.
Nyumba hiyo ni mpya kabisa, ikiwa na vyumba viwili vya kulala(kimoja masterbed room), sitting room, dinning room, kitchen, public toilet ...
Wadau natafuta haraka sana nyumba ya kupanga arusha iwe na vyumba 2 vya kulala,sebule na jiko na pia iwe self contained maeneo ya njiro/nanenane au karibu na njiro au mjini pia buget isizid 200000
tunapenda kuwatangazia wamiliki wa magari ,trucks,kampuni binafsi za magari maeneo ya wilaya ya kinondoni jeff mobile car wash tushaanza kutoa huduma za uwoshaji wa magari kokote ulipo nyumbani au...
JF naikubali, ni kisima cha elimu, uzoefu na maarifa ya kila aina, isitoshe kuna waungwana kibao. Mwenzenu nimekwama, naombeni waungwana mnisaidie. Biashara zangu zimesimama kwa kukosa mtaji...
Ni wakati wako wa kuendesha gari zuri kutoka Hyundai aina ya Hyundai TB ya mwaka 2006 ina 1390cckwa USD 999 FOB au USD 2500 CIF ikiwa pamoja na ukaguzi. Tembelea website yetu...
Nafasi ya kazi.
Kampuni ya MMP inatangaza nafasi 1 ya kazi.
(one post)
SECRETARY
Sifa
~awe na vyeti uhusika ktk nyanja hii.
~uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha ya KISWAHILI na ENGLISH...
Jabari wana JF, nani anajua kituo cha watoto Yatima chenye nafasi nataka nigawe sofa zangu used baada ya kununua mpya, au unaweza nunua kwa matumizi yako ukafanya repair kidogo, pesa hiyo itaenda...
wadau habari za asubuhi. nimekua nikitafuta taarifa za jinsi ya kupata vifaranga vya kuku wa mayai. nipo Lindi kwa sasa. kwa yeyote ambae anaweza kunisaidia naomba afanye hivyo ikiwa ni pamoja na...
Suzuki vitara-Escudo iko katika hali nzuri,automatic transmission,petrol engine 1590cc,grey-metallic,127000km.Inatembea mwenye kuihijitaji ani pm bei ni 6.5mil.