1999 Scania Irizar Bus

1999 Scania Irizar Bus

Mfikilwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2008
Posts
412
Reaction score
124
ciaf dar pound 40.000


b1.JPG b2.JPG b3.JPG b5.JPG b6.JPG b4.JPG
 
....Yameishaingia Bandarini ama Gado yapo kwenye Meli?
 
Dah ni imara kweli haya mkuu i mean kwa barabara zetu zakibongo zitamudu kweli ? maana nikiangalia bei na muonekano wake nikama haviendani hivi au hapo bila kodi?
 
ok shukrani kwa info..............awww watu hatuna hela tuu lakini scania zimetulia na spea rahisi kupata bongo ofcourse hapo bila kodi ....
 
Pia utabidi uwachakachue sumatra kwani hawatakupa karatasi yao
 
hiyo bei bila ya ushuru ni mpaka bandarini Dar.
 
kuhusu uimara hilo halina shaka, kwani toka kiwandani yemetengenezwa kama mabasi na siyo kama baadhi ya mabasi yetu yaliyo bongo yanatokana na chassis ya malori, kisha nani asiyejua scania ata polini spea bwelele, scania ni kama toyota kwa upatikanaji wa spea, sumatra karatasi lazima watoe kwakuwa bus zina kiwango kuliko ata wanavyotaka wao. yani kwa change ya leo mil mia mbili unavuta zote mbili zinapishana tu, kwa mwaka umerejesha ela na faida juuu
 
hivi sumatra wanatoa karatasi kwa basi la zaidi ya miaka 10 kweli ? labda uchakachue kama mdau alivyosema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom