Nani anajua?

Nani anajua?

Twande

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2009
Posts
543
Reaction score
174
Jabari wana JF, nani anajua kituo cha watoto Yatima chenye nafasi nataka nigawe sofa zangu used baada ya kununua mpya, au unaweza nunua kwa matumizi yako ukafanya repair kidogo, pesa hiyo itaenda kwa Yatima pia, Kama ni kuuza bei ni laki mbili, ni nzuri kubwa ndo I mechanika kidogo, nachelea kuyatoa kwa kituo kisicho na nafasi haitasaidia.
 
Wapelekee hizo sofa mpya halafu wewe ubaki na used. Na chakula pia uwapelekee makombo? Mpende jirani yako kama nafsi yako.
 
mkubwa,si vizuri kuwapelekea kitu chenye defect,tengeneza ndio upeleke,sikushauri uuze then upeleke hela...wapo watu kwenye hizo orphanage ambao si waaminifu...giving is good,and for it to be good enough fix it in a standard as if utatumia wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom