Mobile car wash services

Mobile car wash services

bigjeff

Senior Member
Joined
Oct 25, 2009
Posts
111
Reaction score
22
tunapenda kuwatangazia wamiliki wa magari ,trucks,kampuni binafsi za magari maeneo ya wilaya ya kinondoni jeff mobile car wash tushaanza kutoa huduma za uwoshaji wa magari kokote ulipo nyumbani au ofisini tutakufuata kwa bei nafuu na huduma bora..utafurahi ndugu mteja wasiliana nasi kwa 0754759719/0712928372/0713058290.....we come to you
 
Attachments

  • IMG-20130308-WA0000[1].jpg
    IMG-20130308-WA0000[1].jpg
    55.1 KB · Views: 128
  • IMG-20130312-WA0000[1].jpg
    IMG-20130312-WA0000[1].jpg
    16.4 KB · Views: 121
Nikiwaita mbele ya ofisi yangu hamchafui mazingira? Kwa maana maji yanayomwagika mnayacontrol vipi? Bei zenu zikoje?
 
Nikiwaita mbele ya ofisi yangu hamchafui mazingira? Kwa maana maji yanayomwagika mnayacontrol vipi? Bei zenu zikoje?
Hawatumii maji hao ni dry claening,we vipii huelewi tu???????
 
kweli technolojia inakuwa,
sasa hiv hakuna tena kutafuta mto uoshe gar
 
Atuchafui mazingira mkuu maji tupigie tuongee mkuu au ni pm namba yako tafadhali
 
Nikiwaita mbele ya ofisi yangu hamchafui mazingira? Kwa maana maji yanayomwagika mnayacontrol vipi? Bei zenu zikoje?
Atuchafui mazingira mkuu maji tupigie tuongee mkuu au ni pm namba yako tafadhali
 
Bei zenu zikoje??
Maana Mferejini tunaosha kwa Tshs 2,500/-.
 
bei zenu zikoje??
Maana mferejini tunaosha kwa tshs 2,500/-.
mkuu inabidi tuwaelemisha waosha magari maana kama umetumia hela nyingi kununua gari yako nadhani pia utalithamini pia kama u want to see ourservice tupigie simu hapo juu atutasita kukuhudumia..asante sana
 
Sawa kaka,
Hujaweka bei lakini. Wajua mtu ana-avoid kukupigia ukaja na mashine zako from Sinza to Mbezi Juu au Mtoni Mtongani then mkaja mkashindwana bei kaka mkubwa!!
 
Back
Top Bottom