JF naikubali, ni kisima cha elimu, uzoefu na maarifa ya kila aina, isitoshe kuna waungwana kibao. Mwenzenu nimekwama, naombeni waungwana mnisaidie. Biashara zangu zimesimama kwa kukosa mtaji. Nimejaribu kutafuta mkopo benk zote ninazoenda sikidhi masharti yao. Nimejaribu kuuza kiwanja changu hadi sasa sijapata mteja yeyote, kazini utaratibu umebadilika mikataba inasainiwa mwezi May ndo tuanze kulipwa mishahara. Yamenikuta mwenzenu dunia naiona imesimama!
Naombeni msaada wenu waungwana wa mkopo sh. mil. mbili hata kama ni kwa riba niendeleze biashara zangu nitarudisha ndani ya mwaka 1 kidogo kidogo. Au yeyote anayeweza kununua kiwanja changu anakaribishwa sana ili nimalize tatizo hili linalonikabili. Shukrani sana kwa waungwana wote.