Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

tafadhali nahitaji mkopo wa muda malipo ndani ya miezi minne.Please anyone to help?Ninaisha Daresalaam
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kama upo mwanza nyamagana na unahitaji cm, nina nokia model ya hapo juu haija maliza mwezi nime fulia vibaya laini moja ina support aplication zote .nitafute kwa leo tu na kesho mwisho saa nne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta ipad2 kwa yeyote aliyenayo anicheki kwa 0717022737
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Toyota Surf bei ni Tsh.23 Million Toyota GX 100 Mark II bei ni Tsh.8 Million
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu nauliza eti zile laptop ndogo huwa zinauzwa sh ngapi pia naweza kuzipata wapi hapa Dar?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Pikipiki ndogo aina ya Suzuki inauzwa. Ni automatic na speed yake mwisho 60 KPH. Imeshasajiliwa na Bima yake imeshaisha. Inatembea vyema na betri yake imekufa inahitaji kubadilishwa. Bei ni...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Number 1 authorize wholesaler / reseller so our price can not be the same as the retail price.Most retailers do get there order from us and resell, But we get all our products directly from there...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yoyote mwenye hiyo simu anijuze fedha niliyonayo ni 130,000=
0 Reactions
6 Replies
1K Views
ina vyumba 3, sitting na dinning room, jiko. Ina fency ya ukuta na vyumba 2 vya walinzi au store, gate kubwa na car parking, umeme na maji. Ipo barabarani. Daladala zinafika. Bei na mawasiliano ni pm.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaehitaji line za mpesa,nauza ninazo mbili,chek me 0715/0754 865192 tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
eneo lenye ukubwa wa square metre 6800 linakodishwa, eneo liko metre 400 toka mbezi high school pembezoni mwa barabara ya mpigi magohe, kuna nyumba kubwa inayofaa kwa ofisi au makazi, linafaa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Napangisha chumba maeneo ya mwenge near TRA opzt magorofa ya jeshi kodi 80,000 kwa mwezi including maji na umeme, ina maana maji na umeme hulipii, HAKUNA DALALI, nyumba ina vyumba vinne vyoo...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Mbali na kuongeza gharama maradufu za kutumia Internet kwa wanaotumia modem, ni wiki moja sasa mtandao huu umeelemewa kabisa, hata kufungua email inashindikana! yaani ni zaidi ya slow...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepita ubungo asubuhi hii,pale wanapouza magazeti ,kuna vijana wanauza DVD za vituko Bungeni ,DVD hizo zimerekodiwa kutoka TBC wakati wa mijadala ya bunge.ajabu ni kuwa kwa sasa film za wasanii...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
nahitaji laptop aina ya toshiba au hp yenye specification zifuatazo processor 2 dual core hdd 320 ram 2gb dvd writable wifi bluetooth nk
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bigirita anauza T-Shirt za Serukamba, wahi Tshirt yako mapema. Out for Sale....Ukiwahi unapata kumi bure.
8 Reactions
41 Replies
4K Views
VIWANJA VIWILI VYENYE OFFER VINAPATIKANA MBEZI MASITE, SIO MBALI KUTOKA BOKO. KIWANJA CHA KWANZA NI Sqm 1273 Bei ni million 52. KIWANJA CHA PILE NI Sqm 1200 Bei ni million 50. CONTACTS...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hey there! Nahitaji kununua suzuki escudo, iwe kwenye hali nzuri, lakini bei nzuri pia Mwenye nayo keep in touch with me through 0767659145 au 0787659145 alphonce@alphonce.net
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Shamba for sale, heka mbili kigamboni karibu na Dar es salaam Zoo....40 milioni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom