Natafuta TOYOTA COROLLA DX ya mwaka ya 1982...

Natafuta TOYOTA COROLLA DX ya mwaka ya 1982...

Seto

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Posts
953
Reaction score
57
Natafuta TOYOTA COROLLA DX YA MWAKA 1982.
Iwe:-
1. Inatembea
2. Kutu isiwepo ya kutisha
3. Taa zote ziwepo
4. Mabampa yoye yawepo
images
 
Hamna siri yoyote.....Hata kama haitembei but body liwe linalotengenezeka lisiwe na kutu nyingi...
 
da aisee hii kali labda kacheki cheki a-town.....
 
nenda zenji lazima utaipata, kule wana hazina ya gari za zamani
 
Natafuta TOYOTA COROLLA DX YA MWAKA 1982.
Iwe:-
1. Inatembea
2. Kutu isiwepo ya kutisha
3. Taa zote ziwepo
4. Mabampa yoye yawepo
images

Naungana na the boss kuwa kuna siri gani inayokufanya utafute gari kama hilo la 1982?? Gari la mwaka 2000 tayari watu wengine wameshayachoka wewe unataka la 1982??

Anyway kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
[FONT=book
antiqua]Natafuta TOYOTA COROLLA DX YA MWAKA 1982.
Iwe:-
1. Inatembea
2. Kutu isiwepo ya kutisha
3. Taa zote ziwepo
4. Mabampa yoye yawepo
[/FONT]
images
[FONT=book
antiqua][/FONT]

aminia mazee,gari yoyote nyuma ya mwaka elf2 ndo yenyewe,achana na madamping fees yao,nunua hvyhvyo,ndo ya ukweli haya,juu ya hapo ni mabox
 
nataka niifanyie rebuilding.
 
Natafuta TOYOTA COROLLA DX YA MWAKA 1982.
Iwe:-
1. Inatembea
2. Kutu isiwepo ya kutisha
3. Taa zote ziwepo
4. Mabampa yoye yawepo
images

Unataka kui pimp nini???? Andaa bajeti ya kutosha!
 
Back
Top Bottom