kwa wale wanaotaka kwenda kusoma india..... read this

kwa wale wanaotaka kwenda kusoma india..... read this

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,201
Reaction score
6,269
Habari ndugu, kwa wale wanaotaka kwenda kusoma India katika level za diploma, degree na hata master napenda kiwajuilisha kuwa nafanyia Admission bureeee kabisa bila ya charges zozote. Kama unahitaji kwenda kusoma india na kufanyiwa admission please nitumie pm.
 
India kuna Ubaguzi

Ubaguzi upo kila kona mkuu, ata apa Tz ubaguzi upo katika ngazi tofauti... Na india wapo wa Tz wanadoma bila bughdha na pia wana kiongozi wao.... Ondoa shaka mkuu
 
Back
Top Bottom