Vitira boarding secondary school

Vitira boarding secondary school

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
1,302
Reaction score
556
Vitira shule ya Sekondari ya bweni inakutangazia nafasi ya masomo kidato cha I,II,na III.Shule ipo Malinyi/Ulanga Morogoro ina mazingira mazuri ya kusoma na walimu waliobobea katika ufundishaji,ada ni nafuu na unalipa kwa awamu.Shule imesajiliwa kwa namba S.3862.WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE!0787 ama 0715 718753.
 
Back
Top Bottom