LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,900
- 37,694
Heshima mbele wakuu, wiki iliyo pita nilianzisha uzi kuhusu huduma bora kabisa ya masaji inayo tolewa na watu wanaitwa DAR EXCELLENT PARLOUR. Nimepokea pm nyingi sana za watu wakitaka niwape namba za wahusika, ili kupunguza usumbufu kwangu na kuwasaidia watu wengine wenye shida ya kufanyiwa masaji. Nimeona niweke namba za simu za Meneja wa DAR EXCELLENT PARLOUR. Call .
Huduma zao ni nzuri sana, just be clean na utafurahia sana huduma.
GOODLUCK!
Huduma zao ni nzuri sana, just be clean na utafurahia sana huduma.
GOODLUCK!