habari wadau!!!
napenda kuwataarifu wadau wapenda maendeleo wote kuwa mimi na wenzangu(tupo7 sasa) tupo kwenye NGO iitwayo vision saccos. Sisi tupo morogoro vijijini-Dutumi village na tumepata ekari kama 500 japo tunaweza pata zaidi hata elfu 2. Kama vijana tulijipanga tuanzishe kambi ya vijana hasa graduates then tulime au tufuge(ardhi inakubali mazao yote na ufugaji pia). Ila tukapata changamoto nyingi sana hasa kwakua ni msitu mkubwa haujawahi limwa, so tunashindwa kufanikisha japo tumeandika projects nyingi sana kwa wadau ila hatupati walio tayari kutusaidia hata mkopo wa masharti nafuu. Sisi tulijitahidi kufanya baseline survey mara tatu kwa misimu tofauti tofauti ili tujipe uwanja mpana wa uwekezaji. Kwa sasa tunahitaji mtu ambaye atatusapoti mahitaji yetu machache then sisi tumpe msitu na yeye awekeze chochote kile ila asiharibu mazingira kwa muda wa miaka 35 kisheria kabisa. Ninaomba aliye tayari au swali au kujiunga kwenye camp ya kilimo na ufugaji naomba tuwasiliane fednga10@gmail.com au 0714 143040
Nawasilisha