Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari gani wana jf?, ninashamba hekari 20 maeneo ya BIGWA wilaya ya mkuranga, shamba lipo katika sehemu nzuri karibu kabisa na kisima kikubwa cha maji, pia shamba lina ardhi nzuri ambayo mazao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna anaefaham sehemu yoyote ambayo naweza kuwapata wale wamasai wanaosokota nywele kwa rasta?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba anayefaham bei ya nokia n900 kwa hapa tz na wap znapatkana kwa urahis nawasilisha.....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Macbook Pro i5, 500GB (2012)-------700,000Tsh(Tatizo ni charger connector port Tuu) Ps3 250GB, Padi moja na cd mbili--------200,000Tsh(Tatizo ni Disc Ejector Tuu) Galaxy Note 2...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Helow wana JF Kama heading inavyosema apo juu nauza my blackberry curve 8520, bei ni sh 150,000 ( laki na nusu ). Ila inatatizo la sensa imeanza kuchoka na housing ni ya kubadilisha maana...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Have you ever been curious about your future concerning that important thing in your life or just making the right decision about it because you think you can't risk it, what ever it is...
0 Reactions
0 Replies
900 Views
wahi viwanja eneo la kilimahewa-Dar kata ya Wazo.umeme, barabara nzuri na maji vipo. Ukubwa 20 kwa 20 ni 13m na 35 kwa 25 ni 30m. Maelewano yapo karibu sana 0712232849
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Toyota Carina damu ya mzee inauzwa. Imeingia nchini toka UK (Ilikuwa inatumiwa na bimkubwa) mwezi wa kwanza mwishoni. Ipo katika hali nzuri kabisa, ni ya 1999 Full registration. Mile age 57000...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naweza kupata wapi cover/housing ya simu hii hapa dar?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta TILL za TIGOPESA tatu (3).Kwa yeyote mwenye nazo anayeziuza awasiliane name namba 0715 946 905 nipo Dar.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Galaxy ace 5830 inauzwa kwa bei ya tsh.270,000 tu. Kama unahitaji ni pm tuongee biashara.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Tunauza magari kuanzia mil 3.Mkopo wa masharti nafuu upo.Karibuni. Tupo Tabata Dampo,Dsm.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nyumba inauzwa inauzwa Ina vyumba vinne vyote master. Ina car parking ya gari ndogo mbili. Ina bati la msouth. Ina fensi ya ukuta na nje Kuna miashoki. Ina sebule kubwa. Ina dinning room...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu naomba mnijuze hii kitu ntaipatia wapi??
0 Reactions
3 Replies
1K Views
naomben mnisaidie bei yake na wapi zinapatikana kwa urahisi hasa mpya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
simu imetumika si zaidi ya miezi miwili ina vifaa vyote..line mbili pia kumbuka ni galaxy pekee ambayo line zote zina internet ya 3G..km unaitaka nicheki kupitia 0713 190 118
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wakuu. Natafuta nyumba ya kupanga chumba na sitting room na choo chake, maeneo ya Tegeta pls, kwa anaefahamu msaada tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nanunua mda wowote ambapo itapatikana,ikiwa mwanza itakuwa vizuri zaidi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka simu ila isiwe huawei,zte wala nokia asha or e-series,kwa anayeuza atoe offer yake au ani-pm Natanguliza shukurani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom