Nauza TILL ya M-PESA

Nauza TILL ya M-PESA

GreenCity

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Posts
5,904
Reaction score
4,666
Wakuu heshima kwenu.
Kwa wale wajasilia mali na wale wanaotaraji kuwa wajasilia mali, nina agent till ya M-pesa ninaiuza.

Sababu ya kuiuza ni baada ya kuletewa nyingine nikiwa tayari ninamiliki nyingine.

Bei ni 200,000/= tsh. (non-negotiable).

Napatikana Tunduma, Mbeya na Iringa (yaani kwa wiki natembelea hayo maeneo).

Kwa walio tayari tu!
contacts: PM au 0763614520
 
Hebu tufahamishe till ndio nini
 
Ni vema pia ukaweka ulikuwa unafaidikaje ili wajasiriamali wasiojua waitumie fursa hii.
 
Ni vema pia ukaweka ulikuwa unafaidikaje ili wajasiriamali wasiojua waitumie fursa hii.

jirani yangu Makala Jr ukiwa kama WAKALA wa M-PESA unapata faida kwa kadili ya wingi wa watu uliowahudumia kwa mwezi!
 
Last edited by a moderator:
wakuu asanteni kwa response, nimeshasukuma mzigo.
BUSINESS CLOSED!
 
Dah nilikuwa nahuitaji sana ila ndo hivyo tene nimechelewa, huwezi kupata nyingine?
 
Dah nilikuwa nahuitaji sana ila ndo hivyo tene nimechelewa, huwezi kupata nyingine?

kaka ni pm nitakupatia no.ya m2 anayeiuza,akonayo mja ila mtaji kala,so ipo tu,anataka kuiuza
 
Dah nilikuwa nahuitaji sana ila ndo hivyo tene nimechelewa, huwezi kupata nyingine?

NIKIPATA nitaileta hapa hapa mkuu, naiamini JF nimefanya biashara na mtu wa mkoa tofauti bila chembe ya blahblah!
 
Back
Top Bottom