Duka la vifaa vya umeme-linauzwa

Duka la vifaa vya umeme-linauzwa

southamerica

Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
34
Reaction score
5
Nina duka la vifaa vya umeme na ujenzi- kiasi. thamani yake ni minimum ya mil 2.5
Nimefanya biashara kwa almost 3 complete months--- kama mtu atahitaji mauzo yalivyokuwa nitamuonyesha.
Nilimuweka msimamizi - ingawa sasa amepata matatizo katika familia yake na hivyo ameondoka na kutokana na matatizo hayo haifahamiki kwa uhakika kama atarudi mapema. Nafasi yangu kwa sasa kuwa jirani na biashara hiyo ni ndogo mno kutokana na mazingira ya kazi yangu.

Duka lipo Morogoro mjini - Mtaa wa Konga.

changamoto.
Katika muda huo leseni haikuwa imekatwa - hivyo unatakiwa kukata leseni ya biashara

Hivyo, natangaza kuiuza biashara hiyo.

Ukivutiwa -tuwasiliane kupitia private message hapa
 
Du! Leseni ya biashara imeisha, tutaambiwa kodi ya pango nayo inaisha mwezi huu!
 
Back
Top Bottom