Swordfisher
JF-Expert Member
- May 1, 2013
- 233
- 37
Nina mil.4 kamili mtu yeyote mwenye corola limited iliyo kwenye hali nzuri hata kama ya zamani kidogo ani PM.
Wakubwa nashindwa KU PM sijafikisha post 5, nitapiga kwa namba mlizonipa. Mwenye GR ni PM namba yakoIpo manual kwa bei hiyohiyo ni pm kama upo serious