Techno n3 single line INAHITAJIKA..

Techno n3 single line INAHITAJIKA..

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Nina laki na elfu 30(130000),nahtaji simu tajwa hapo juu ikiwa mpya kabsa,na vifaa vyake vya kwenye box(charger,usb,earfone,sd card)..

Npo Dar-es-salaam..
 
Duh.!kumbe za single lain zpo..
 
Za single line zipo na ni bei rahisi zaidi kuliko za double line. Nadhani za single line dukani ni 150,000 wakati za double zinarange from 170,000 to 200,000 inategemea na mahali utakaponunua. Mi ninayo ya Double line lakini inanifaa kwa matumizi ya kawaida na kutunza charge zaidi ya hii nyingine kubwa niliyonayo
 
Naweza pata wapi mkuu.. M'Jr
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom