Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji hiyo simu na ofa yangu ni Tsh. 200,000 (laki mbili) Mawasiliano 0787577755 au 0717577755
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau natafuta mini laptop kwa laki 300000 lakini isiwe imetumika sana mwenye nayo an pm au anipigie no 0714511079
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Iwe maeneo ya Mikocheni, sinza, kijitonyama, survey, kinondoni, Budget tshs 300,000 isiwe uswazi! Kama unayo piga simu haraka 0717114409.
0 Reactions
0 Replies
809 Views
Nyumba nzuri ya vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sitting room, jiko na choo. Iwe Imezungushiwa uzio wa ukuta.Kuna parking ya kutosha magari walau mawil. Kodi 350,000.Ikiwa unayo piga...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Kuna laptop aina ya hp hdd 500gb,ram 2gb,core I 3.toshiba laptop 300gb hdd,ram 2gb.zote mbili kwa 1.5m Tablet aina ya super touch gps-s717 android kwa sh 200,000/= Namba:0713656256
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Nina mashine za kufanyia marekebisho ya barabara (Road works machine) na mashine zingine za ujenzi wa majumba, ninatafuta fundi mzuri na mwaminifu atakayeweza kuzifanyia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam Stahili ziwafikie nyote! Rejea mada tajwa hapo juu,ninatafu nyumba yenye sifa zifuatazo;- -Chumba 1 na sebule/chumba kimoja kikubwa self-contained -ada iwe 50,000/ kila chumba malipo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Natuta Partner tuweze kuanzisha firm ya kutoa consultation services kwenye maeneo yafuatayo (kwa ufupi) 1. Taxation (Compaliance,tax planning, tax disputes 2. Risk Management 3. Reporting...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kwa bei poa, kipo Shinyanga Mjini maeneo ya Bushushu kuelekea Old Shinyanga.Kinatazamana na Mamlaka ya Maji ya KASHWASA. Sifa za kiwanja ni kama zifuatazo: (1) Ni kikubwa kwa...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanja kiko mbezi msakuzi ukubwa mita 53 kwa 33. Eneo ni karibu na kwa asenga,kisabo shopping center na fm lodge. Bei ni sh. Milioni 9 tu. Hatakiwi dalali. Anayehitaji awasiliane na muuzaji...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
KIWANJA KINAUZWA SHINYANGA MJINI BARABARA YA KUELEKEA OLD SHINYANGA Kiwanja kinauzwa kwa bei poa, kipo Shinyanga Mjini maeneo ya Bushushu kuelekea Old Shinyanga.Kinatazamana na Mamlaka ya Maji...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
External 500 gb hp available kwa tshs 150000 brand new, kwa anayehitaji acheki via simu hapa 0714481167
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Habari wanajamvi. Naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu. Kwa kiasi cha milioni 9, naweza kupata gari gani nzuri? Isiwe used kutoka kwa mtu hapa tz, bali imported. Nilikuwa na mawazo, kujipatia...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ndio wandugu!nahitaji Min laptop kwa tsh 300000 tu. Aliyenayo an PM.ila brand New!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
ni mwalimu wa digrii Linguistics na Political S cience toka mwaka 2009 UDSM ..anatafuta kazi kwa masomo ya Language na GS kwa wanaohitaji tuwasiliane 0757244853 ama 0717522175
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Nauza Fargo DTC525 Color Double Sided Plastic ID Card Thermal Laminating Printers. Kwa detailed specifications tafadhali soma hapa: Fargo DTC 525-LC Specs (printer - color - dye...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Next Ending auctions! LG Optimus 3D P920 - 8GB - Black (Unlocked) Smartphone 7m 53s NEW LG Optimus 3D P920 - 8GB - Black (Unlocked) Smartphone...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
nakupatia toshiba tablet t100 ina wifi,usb cable,camera@movie ukigoogle utaipata gb16,natmia cm ndo mana cjaweka picha. Tubadilishane na kompyuta ila iwe inasoma cd,nimeamua ivo coz ninazo 2 na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Dawa ya kuponya sehemu za siri – Wanawake Habari wanajamii, Wanasema kizuri share na wenzio. Ninauza dawa maalumu ya asili, kwa ajili ya wanawake wenye matatizo ya sehemu zao kutoa maji machafu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom