naitaji kununua tecno n3 mpya kwa 150000tsh

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
kama kichwa kinavyo jieleza ningependa iwe mkoa wa morogoro au ata dar

nawasilisha....
 
jaman naomba wenye hi kitu naomba tufanye biashara aise au ata kunielekeza kwa moro wapi nawezapata kwa bei iyo

thanks in advance
 
Hiyo ni bei ya jumla kwa maduka ya kariakoo, mitaa ya Agrey. Hiyo mtoto babu kubwa ni N7 ndo homa ya jiji, ina week tangu iingie sokoni.
 
ok nmekusoma mkuu sasa naweza pata kwa sh ngapi kwa apo dar?
 
Hiyo ni bei ya jumla kwa maduka ya kariakoo, mitaa ya Agrey. Hiyo mtoto babu kubwa ni N7 ndo homa ya jiji, ina week tangu iingie sokoni.

n3 ni bomba nnayo betri ndo inanisumbua, hiyo n7 ndo nilikuwa naingoja sh ngapi bosi?
 
Back
Top Bottom