Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wasalaaam wanaJF!! Nahitaji nyumba ya kupanga chumba kimoja na sebule, angalau maji yawe yanapatikana karibu kwan najua hilo ni tatizo kwa maeneo mengi hapa DSM kwa maeneo yafuatayo! Sinza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu hbr zenu natafuta madalali wa viwanja maeneo ya kimashuku moshi pls yyto anaemjua ani pm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama unahitaji Mitsubishi Diamante: Ipo inayouzwa kwa bei nafuu na pia maelewano yako. wasiliana kwa namba hizi: 0718044662 au 0754899189
0 Reactions
0 Replies
740 Views
Laini ya uwakala wa tigo pesa inauzwa bei yake ni laki 6,kwa mawasiliano zaid 0682933868
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUSHIRIKI MNADA HUU BOFYA KWENYE BIDHAA HUSIKA HAPA CHINI Latest auctions Samsung EH5000 LED TV(series5) 25 May, 2013 - 07:16...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
HONDA CRV, manual, use petrol, ful AC,five doors, bought direct from japan few years ago, ready paid everything,the car has had a complete new clutch, radiator, steering rack, suspension...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nauza min laptop,aina ni acer,specifications ni RAM 2GB,HARD DISC 320 GB,ni mpya imetumika miezi miwili,bei ni 450,000/=,mawasiliano 0753584428
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Biashara ndugu blackberry both bold and curve guys bei cheeeeee_call meee 0654825374**
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Habari waungwana, mwenye universal modem 3G or Modem iliyochakachuliwa but anataka iuza naomba unipe bei yako na aina ya modem. Nipo dar
0 Reactions
1 Replies
751 Views
Heshima kwa wote!! Nahitaji nyumba ya kupanga iwe vyumba viwili vya kulala kimoja kiwe self, iwe na jiko na sitting room na public toilet. Maeneo: Chang'ombe, mivinjeni, upanga, mikocheni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hii ni gari ya kwanza kati ya mawili THE SENIOR JUNIOR GENERAL SUPPLIES iliyo nayo sokoni. This is CARINA engine pamoja na vifaa vingine vyote bado vipo katika hali nzuri na haihitaji matengenezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Legacy impresion company Graphic design,printing,webtech,stationeries and brand consultants Plot no 428 block 44 kijitonyama,Dar es salaam Oppst K.K.K.T church kijitonyama 0713603699/0767603699...
0 Reactions
0 Replies
778 Views
A reputable qualified company located at Tegeta DSM. We are selling high quality blocks and receiving tenders from clients,at 900 Tsh (5inch) and 1000 Tsh (6inch)...........0764 468 469.
0 Reactions
92 Replies
11K Views
Ninauza simu yangu bb 9700 laki 230,000 haina tatizo lolote, ina usb na earphones zake na m.card ya 2 gb. Niko Dar es Salaam kama unaihitaji. Asanteni. Sent from my BlackBerry 9700 using...
0 Reactions
2 Replies
935 Views
ni nokia ya kutumia laini moja na memory card iliyotumika kwa bei tajwa hapo juu, tuwasiliane
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ina print na kutoa copy,bei haipungui
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Wadau nauza used samsung galaxy S3 ni ni kama mpya na accessories zake. kama mtu upo makini naomba uni-pm hatutoshindwana bei.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji simu tajwa hapo juu ila isiwe product ya china tafadhari zaidi ya tecno tu!ikiwa na sifa zifuatazo: 1.internet yenye kasi 2g au 3g ... 2.screen size kubwa iwe rahisi kusoma documents...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Heshima,yenu wana jf,, naomba mwenye kufahamu au kuelewa vyuo vizuri vinavyofundisha masomo ya baby care na nursery teachings,anisaidie kunijulisha na taratibu zao,ikijumuisha adaa,kama...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom