Madiba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2009
- 426
- 252
Nimewahi kusikia kuna kampuni huwa zinakodisha office equiment/machine kwa mfano photocopiers, computers, n.k. kwa mikataba.
Naomba kama kuna mtu anafahamu mikataba hiyo inakuwaje, anieleweshe. Anipe uzuri na ubaya wake, terms, malipo, bima, matengenezo, n.k.
Nina heavy duty UPS nina mpango wa kuzikodisha.