Bata mzinga (turkey)

Bata mzinga (turkey)

mwanakongola

New Member
Joined
May 27, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Kwa mahitaji ya nyama ya bata mzinga waliotunzwa kitaalam, wenye uzito wa kuanzia Kg. 15 wasiliana nami kwa simu namba 0754 316814 au 0655 316814.

Bei inaanzia 50,000/= hadi 75,000/= kulingana na uzito. Ninapatikana Njiro Arusha na sitaweza kwa sasa kutoa huduma hiyo kwa watu wanaoishi nje ya jiji la Arusha. KARIBUNI SANA. STOCK IPO YA KUTOSHA.
 
Naweza pata mayai pamoja na vifaranga? Kama vipo bei yaendaje
 
Back
Top Bottom