Kwa mahitaji ya kununua ardhi yenye ukubwa tofautitofauti mpaka hekari 200, yaani mashamba na hata viwanja tafadhari wasiliana nami kwa simu nambari 0717000990 au 0764434673 au 0689232523. mashamba yote yanafikika kirahisi kwa gari
Safi sana mkuu...mie natafuta shamba kama heka 12 mpaka 20 hivi maeneo ya mlandizi kurudi nyuma kama unakuja dar es salaama vigezo liwe na maji ya kutosha, umeme na karibu na barabara ila sio lazima liwe na rutuba maana ni kwa ajili ya ufugaji.
Naomba bei zako na maeneo nayoweza kupata mashamba yenye sifa hizo tajwa hapo juu
kuhusu bei inalingana na eneo, kwa mfano kuna maeneo mawili umeme upo na maji yapo, kati ya hayo moja lina heka 45 umeme upo na limepakana na mto Ruvu na lingine lina heka 225 umeme na maji ya bomba yapo, kazi kwako mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.