Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

kiwanja kinauzwa ukubwa wa mita 35 kwa 20 na kipo barabarani kabisa kama kinavyoonekana kwenye picha. na pia kipo umbali wa km 1 kutoka stand ya tabata kimanga. bei ni millioni 25. kwa mawasiliano...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta flat ya kupanga maeneo ya Upanga ya binafsi au NHC. Iwe na vyumba 2-3. Ningependelea choo na bafu viwe separate na isiwe ground floor. Kodi isizidi 800,000/- kwa mwezi.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Chumba kimoja cha kuishi kina maji na umeme fence jirani na barabarani... kinapangishwa 60,000/= kodi miezi 6 angalizo SIO KWA FAMILIA KUBWA LAZIMA AWE SINGLE yaani hajaoa au hajaolewz mwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rav4 inauzwa ina milango 5,ya mwaka 1998,rangi nyeupe cc 1998, bado iko ktk hali nzuri, bei m12 neg
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni black, imetumika 1month, haina scratches kabisa, na ina 32gb memory. Bei tsh 470,000, kama uko interested ni pm or nichek 0717301520, au whatsapp
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Jamani wanajamvi nisaidieni kwa hili naitaji kupata wanunuzi wa madini aina ya kasheshe maana ninayo mengi na sijui wapi nitapata soko plz.........plz...... mazeee kama vipi nicheki kwa phone...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuanzia robo eka kwa mil 3, nusu eka mil 6 na eka milion 12 lipo toangoma ni km 18 kutoka ferry. Halijapimwa 0712769766
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wote. Nampango wa kuanzisha shamba kubwa kwa kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Mimi naishi Tanga mjini, maeneo ambayo natamani kufanyia kilimo hicho ni katika wilaya za...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji korosho kwa wingi kwa bei ya jumla. Nitapata wapi kwa hapa Dar es salaam? Huwa naziona madukani na kwa machinga lakini sifahamu wanazijumua wapi. Naomba msaada wa taarifa kwa anayefahamu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wenye Makampuni ya Kuprint vitabu nitafuteni kupitia e-mail: mathew_p_2002@yahoo.com. Nina vitabu vingi vya kuprint lakini natafute mtu mwenye bei nzuri na quality, atakayetuma competitive...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo linauzwa kigamboni ufukweni 2.5 bils. Ni r hectors limepimwa na lina hati kwa mawasiliano 0714155854
0 Reactions
2 Replies
949 Views
nokia e71 inauzwa sh100000 bado mpya wahi ofa hii kwa mawasiliano zaidi call me 0764339400 mie niko mwanza town kama upo tayari usini pm coz siingiagi humu mara nyingi
0 Reactions
0 Replies
721 Views
internal memory-32gb.. colour- black camera-5mp..... We can negotiate...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta milango 5 ya mbao, mkongo (frame na top). kati ya hiyo 4 ni singo na 1 ni double. Tafadhali nipe Bei kama unahusika.....nitaenda kwa atayenipa bei nzuri Kwa nitakayefanya nae kazi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
android system Ina 3g,application program installed like instagram,whatsapp,fb,twiter,keek,tumbler,jamii forum,funny jokes and so much more,inauzwa pamoj na memory carf...laki mbili tu kazi kwenu...
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Wadai hii ni mara yangu ya kwanza kuongea jamvini. Nina wazo la kuanzisha kilimo cha miti ya asili kwasababu miti ya asili inakatwa kila itwaapo leo na hakuna juhudi za kupanda mingine ku replace...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shamba la ukubwa wa Ekari saba(7) linauza kila Ekari kwa Shilingi Milioni tatu (3,000,000/=) ni heka zilizotimia kivipimo. Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anae hitaji simu.. anaweza fanya mawasiliano na mimi kupitia PM
0 Reactions
4 Replies
931 Views
Natafuta hiyo laptop Hp Pavillion Dv4 mwenye nayo anayeuza please
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Samsung Galaxy S3 mpya kabisaaaaaa inauzwa...bei laki 8. Only serious buyer ni PM tufanye biashara
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Back
Top Bottom