Ndugu wanajamii forum,natafuta CONTAINER kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. Container liwe maeneo ya Dar es Salaam. Bandarini yanauzwa lakini bei kidogo iko juu! Kama unalo au unamjua mtu mwenye nalo tuwasiliane kwa No 0713 727676. Natanguliza shukrani!