I need a Furnished Apartment/house close to city centre

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Natafuta nyumba kwa ajili ya one foreigner, iwe furnished, at least one bed room, sitting room, kitchen and toilet. Zaidi sana kuwe na security. Prefarable areas ni Upanga, Ada estate, city centre, mitaa ya Lumumba. Offer in $ 450-500 per month.

Kama ni nyumba za NHC itakuwa bora zaidi na mwenye info ani PM tafadhali. Angalizo, nahitaji kudeal na owner of the place and not dalali
 
Nyumba ya aina hiyo ipo makongo juu, price 500,000/=per month
ina kila kitu,(fernitures)
inachukuaga foreigners,
ina vyumba vitatu,sebule jiko na master.tiles& Fenced.
BUT MIMI NI DALALI.
0715547184
if interested.
regards.
 
Natafuta nyumba kwa ajili ya one foreigner, iwe furnished, at least one bed room, sitting room, kitchen and toilet. Zaidi sana kuwe na security. Prefarable areas ni Upanga, Ada estate, city centre, mitaa ya Lumumba. Offer in $ 450-500 per month.

Kama ni nyumba za NHC itakuwa bora zaidi na mwenye info ani PM tafadhali. Angalizo, nahitaji kudeal na owner of the place and not dalali

kama bado ujapata ingia hapa upanga | Nyumban Real Estate & Consultancy
 
Back
Top Bottom