Kazi: Muuza duka la madawa anahitajika

Kazi: Muuza duka la madawa anahitajika

duka la dawa au Pharmacy? na je uyo muuza duka la dawa lazima atoke kigamboni?
 
cheti cha sekondari, madawa, birth cert., au kipi? kuwa muwazi... ova
 
wadau wa maendeleo naomba nifafanue kama ifuatavyo.

cheti ni cha nursing au assistant na kile cha dispensing cha TFDA
Secondary au computer hiyo ni added advantage.


Kigamboni ndko PHARMACY ilipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom