Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wanajamvi, Kwa mtu aliyeagiza Toyota Raum ya mwaka 2004 ushuru unaweza kuwa kiasi gani? ningependa ushuhuda wa mtu aliyelipa ushuru hivi karibuni. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wenzangu wanaopenda kutumia smart phones za bei mbaya kwa kununua bei za kitonga, naomba niwafahamishe kuwa kuna simu zilizozagaa mjini hapa especially Samsung S3,S3 mini na S4. Ambazo ni...
0 Reactions
3 Replies
883 Views
Wandugu wajasiriamali wenzangu,baada ya kuvuna mazao yangu,napenda uwasilisha kwenu sasa mchele super magugu unapatikana kwa wingi,mimi mwenyewe nnao hauna dalali. Mahali mzigo ulipo nimagugu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
za asubuhi wana JF..nina madini aina ya green mantolin kwa mwenye uhitaji aniPM tufanye biashara.asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunauza GPS kwa bei nafuu sana:- (1)mabegi ya watoto yenye GPS $200 (2)GPS za piki piki $150 (3)GPS za magari $200 mawasiliano zaid +255655948888 email.oxfordcomputertech@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa ushuru wa noah old model ya mwaka 1999 na1998. Na pia naomba kujua lowest price ya noah old model katika yard hapa dsm.asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wanaohitaji kutengenezewa website,blogs,vipeperushi,na otherstationary stuffs. contact us maria@dwt.co.tz au 0715878575 . Website hosting and Domain registration kwa 100,000/= TU. Mfano wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ipo katika hali nzuri bei 380000 pungufu unaongea pamoja na pad zake zote mbili,anayehtaji anichek kwa number 0714061310,
0 Reactions
0 Replies
839 Views
is a very nice car in an excellent condition. mwaka 2002 cc 1790 km 102000 price 9800000 call 0713507487 0767507486 0782898210
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Biashara i phones zinauzwa i phone 4s- Tshs 800000 i phone 3gs- Tshs 500000 price negotiable!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenye monitor ya pc aniambie specs zake na bei i prefer flat screen
0 Reactions
1 Replies
707 Views
SHAMBA LINAUZWA Shamba linauzwa lina heka 4 na bei Tshs milioni 4.Shamba lipo MKURANGA na lipo ktk eneo zuri na kuna bonde na upo mto mdogo unapita karibu na hapo ila halijalimwa kitu.Eneo ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda huu waugwana! Jamani naulizia kwa yeyote anayejua wapi naweza kupata injini aina ya Yamaha 9.9hp au Yamaha kubwa zaidi ya hapo, basi tujuzane. Asante
0 Reactions
3 Replies
7K Views
kwa wale wanaohitaji laptop used ambazo zipo ktk hali nzuri, sasa hivi ninamzigo wa VIJITSU, PROCESSOR 1.6GHZ, RAM1.5 GB. HDD 60GB. hd screen pia ina wifii, bei ni tsh 300,000/= kwa mawasiliano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HTC legend used inauzwa charger yake unapewa na usb cable yake.. Bei ni 180000 tu.. contact: 0713628941 Specification zake soma hapa www.gsmarena.com/ htc_legend-3141.php
1 Reactions
0 Replies
689 Views
Wakubwa, Nauza Marine sheet kama 100 na mbao. Marine nimezitumia kumwagia jamvi la juu kwenye kajumba kangu Tegeta. Kama unaitaji nitumie msg. Nauza bei ya kutupa, half of the price. 30,000 kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
BB 9900 safi kabisa ikiwa na accessories zake inauzwa kwa bei poa kabisa ya shillingi laki 6 tu mwenye kuhitaji tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Natafuta king'amuzi cha startime chakununua second hand kama upo dar call me!!asap 0757 600443 or text me.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
jamani wapi naweza kupata housing ya n9 au kama kuna mtu anaya simu kama hyo ambayo ni mbovu hana mpango wa kuiteneneza au haitengenezeki tuwelewane aniuzie housing 0683808361
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Back
Top Bottom