Namtafuta Issa Kiwango

Namtafuta Issa Kiwango

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
124
Reaction score
100
Namtafuta Issa Kiwango tulionana zamani sana Kigoma. Mwenye contacts zake naomba ani-PM au aniandikie email kupitia geofmbelwa@gmail.com. Au akiona ujumbe huu aniandikie.

Ahsante
 
Ungesema kuwa mlionana Kigoma maybe Mwanga, Majengo, Ujiji, Katubuka, Mwandiga na yeye alikuwa mchezaji ama tulikutana nae wakati tunafanya biashara.Atleast ungetoa wasifu kidogo maana huena hao akina Issa Kiwango wapo 20 Kigoma sasa bila kuwekea nyama kidogo lazima utamkosa tu
 
Alikuwa Auditor nafikiri jina la kati ni Mshili. Anatoka Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom