samaki wa mapambo wanauzwa bei nafuu

Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
ulizenu maswali basi mbona mnaishia kuangalia tu au mnataka nilale njaa
 
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
5,143
Likes
3,628
Points
280
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
5,143 3,628 280
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo
hutaji bei mkuu! ila nikuwa na hitajio sangara(nile perch) wakutosha
 
K

kibiashara

Member
Joined
Feb 4, 2013
Messages
75
Likes
0
Points
0
K

kibiashara

Member
Joined Feb 4, 2013
75 0 0
upande gani wa barabara? opposite na aviation house ukiwa unaenda Gerezani Ukonga au Kitunda?
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
opposite karibu na star time
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo
ungeweka na picha mkuu ingezaidia sana kuvuta wateja......
maana hapa najiuliza tu samaki wa mapambo ndo wepi?
ile kama aquarium? picha? toy? ....... kwa ujumla sipati picha unazungumzia samaki gani
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
ungeweka na picha mkuu ingezaidia sana kuvuta wateja......
maana hapa najiuliza tu samaki wa mapambo ndo wepi?
ile kama aariuqum? picha? toy? ....... kwa ujumla sipati picha unazungumzia samaki gani
aariuqum kama hujui kuhusu hawa samaki bora usifuge tu wanawekwa kwenye majumba ya vioo hawa ni wa maji baridi
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
aariuqum kama hujui kuhusu hawa samaki bora usifuge tu wanawekwa kwenye majumba ya vioo hawa ni wa maji baridi
kwani muuzaji hawezi kuelekeza unatakiwa kuwafanya nini ili waweze kuishi?
wanangu wanapenda sana aquarium najua wangefurahi sana kuwa nayo home....
umetumia vigezo gani kufikia uamuzi kuwa mimi sina jumba la vioo? tafadhali........
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
kwani muuzaji hawezi kuelekeza unatakiwa kuwafanya nini ili waweze kuishi?
wanangu wanapenda sana aquarium najua wangefurahi sana kuwa nayo home....
umetumia vigezo gani kufikia uamuzi kuwa mimi sina jumba la vioo? tafadhali........
ujue humu jf watu wengi wana masihara sana kwa mtu amabe hawajui ukianza kumuelezea utajilaumu kwa nini ulipoteza mda wako bure ila kwa kwa kua unaonesha uko sirious ok
hawa ni samaki wa kufuga wa mapambo yaani sio wakuliwa jinsi ya kuwafuga ni kuwaweka jike na dume aina zozote unazotaka wewe na idadi yoyote uitakayo chakula chao kipo special ninuza ila unaweza wapa mikate ugali kiasi kidogo sana kwa siku au baada ya siku mbili
wanaishi sehemu yoyote na maji ya ni ya bomba au kisima lakini sio ya ya bahari kwa lugha nyepesi ni maji baridi
ila watapendeza zaidi kama utawaweka kwenye jumba la kioo maarufu kama kwelamu pia tunauza hapa
 
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined
Sep 30, 2009
Messages
11,314
Likes
111
Points
145
Fixed Point

Fixed Point

JF Bronze Member
Joined Sep 30, 2009
11,314 111 145
ujue humu jf watu wengi wana masihara sana kwa mtu amabe hawajui ukianza kumuelezea utajilaumu kwa nini ulipoteza mda wako bure ila kwa kwa kua unaonesha uko sirious ok
hawa ni samaki wa kufuga wa mapambo yaani sio wakuliwa jinsi ya kuwafuga ni kuwaweka jike na dume aina zozote unazotaka wewe na idadi yoyote uitakayo chakula chao kipo special ninuza ila unaweza wapa mikate ugali kiasi kidogo sana kwa siku au baada ya siku mbili
wanaishi sehemu yoyote na maji ya ni ya bomba au kisima lakini sio ya ya bahari kwa lugha nyepesi ni maji baridi
ila watapendeza zaidi kama utawaweka kwenye jumba la kioo maarufu kama kwelamu pia tunauza hapa
sikuwa nawaza sana kuwa ungeelezea hapa....
nilichotaka kuona ni picha ya hao samaki, nikiwapenda nakuja kuwanunua na hapo ningepata maelekezo ya jinsi ya kuwafuga.....unajua picha zinavutia sana, na unaweza pata wateja wengi zaidi ya kuweka tu hayo maelezo. nakushauri panga samaki wa aina tofauti tofauti kwnye hayo majumba, uyapige picha na uweke hapa. ukitaka kufanya biashara usijali usumbufu wa wateja.
kweli nipo serious na ningependa kuwanunua pamoja na jumba lake kama unayo ya kupendeza, kazi ni kwako
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
sikuwa nawaza sana kuwa ungeelezea hapa....
nilichotaka kuona ni picha ya hao samaki, nikiwapenda nakuja kuwanunua na hapo ningepata maelekezo ya jinsi ya kuwafuga.....unajua picha zinavutia sana, na unaweza pata wateja wengi zaidi ya kuweka tu hayo maelezo. nakushauri panga samaki wa aina tofauti tofauti kwnye hayo majumba, uyapige picha na uweke hapa. ukitaka kufanya biashara usijali usumbufu wa wateja.
kweli nipo serious na ningependa kuwanunua pamoja na jumba lake kama unayo ya kupendeza, kazi ni kwako

ok sawa
 
D

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
238
Likes
7
Points
35
D

DJ Imma

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
238 7 35
aariuqum kama hujui kuhusu hawa samaki bora usifuge tu wanawekwa kwenye majumba ya vioo hawa ni wa maji baridi
Majumba ya vioo magorofa au kama ppf tower, hebu sema KWERAM, niambie bei na wapo wangapi kwenye kila kweramu na ukubwa wake??
 
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2009
Messages
8,958
Likes
2,547
Points
280
mfianchi

mfianchi

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2009
8,958 2,547 280
samaki wa mapambo wanauzwa ofisi ipo banana ukonga pembeni ya jengo jipya la aviation house
kuna aina kama
red
gap
gold
pure red
black more
white gap
sefin more
red sota
na wengine wengi kwa maelezo zaidi piga 0713969650 bei ni nafuu mnoo
Je Koi unao?
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Likes
3
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 3 0
Majumba ya vioo magorofa au kama ppf tower, hebu sema KWERAM, niambie bei na wapo wangapi kwenye kila kweramu na ukubwa wake??
hapana haya ni kama mabox ya vioo kuanzia cm 30 au mita moja na kuendelea ngoja niweke picha
 
Forum statistics

Threads 1,274,090
Members 490,586
Posts 30,500,708